MESHers, hustling in life is just like Kenyan matatus
Find Your Zone: Lessons from the MESH Biz Class Week 1 đđ
Itâs loud, chaotic, and full of drama. But if you know your destination, youâll navigate through it like a Probox cutting through traffic.
Now picture thisâyouâre on a Rongai mat, and the conductorâs like, âPay up or get off!â Meanwhile, youâre still trying to decide if youâre getting off at Langâata or heading straight to CBD. The pressure is real, right? Feel that stress?
Thatâs exactly what life feels like when you havenât figured out your zone. Itâs trial and error, confusion, like playing FIFA with a disconnected controllerâpure frustration.
But once you find your zone, itâs like getting to that level where no conductor can hassle you anymore.
Your zone is the perfect balance where your passion, your skills, and market demand align. Itâs that smooth blend, like gengetone and dancehall, or Pilau and Kachumbari.
Week 1 of MESH Biz Class was like a festival of knowledgeâit was all about helping you find your zone and own it. This isnât your average hustle advice; itâs the real blueprint to unlock your grind.
If you missed it, no worries. I got youââTwende kazi!â Letâs smash it, no excuses! đĽ Hustle waits for no one!
đ¨ Passion + Drive + Kujituma = Winning Formula đ
Neil Shem, the bag designer with that top-tier game, dropped some real truth on us. He said thereâs no such thing as an easy biz, so hakuna time ya kupumzika. Keep grinding, fam!
Challenges? Ziko kila mahali, bro/siz. Even when you know what you want, lazima ujitume. You should not just daydream. Lazima uwe na plan yako, na uifanyishe kazi.
Pro Tip ya Neil Shem: Plan yako ndio foundation ya kufika level unataka. Bila hiyo, utazidi tu kutangatanga bila direction. Kujua passion yako pekee without action ni kama kulima shamba bila mbeguâutacheki tu, but hakuna harvest!
Without that daily grind, utaishi ukiwa stuck kama Wi-Fi imeconnect, but bado hakuna internet. Sio mchezo! Biashara sio game ya kupumzika. Hii ni journey ya akili, nguvu, na kujitolea.
Takeaway: When you hear lazima upige kazi 24/7, it's the reality. Kama uko ready ku-dive all in, itâll be worth it. Remember, success sio about shortcuts, itâs about kubust hustle yako every single day, na kuwa true to your journey.
đ¤ Maryâs Mantra: "If It Keeps Calling You, Thatâs Your Zone!" đĽâ¨
Mary is an animator and scriptwriter, na advice yake iko deep sana. Alisema kitu powerful: âIf you find yourself doing a certain hustle, stopping, then going back to it na bado unapata doh, hiyo ni zone yako.â Simple but deep, ama?
Ni kama ukipenda maji. Si kila time utakuwa pale beach na vibes ziko juu, right? So why move to Sahara Desert? Mary alisema lazima u-analyze all avenues za hustle yako. Kama ni animation, usi-focus tu kwa cartoons. Kuna avenues kama explainer videos, short films, and even commercials to consider. Itâs all about broadening your hustle. Keep it flexible, and youâll find that sweet spot.
Na lazima uwe strategic. Letâs say unataka kuuza second-hand clothes ama shoes. Githurai na Gikomba? Hapo kuna compe kila corner, bro! Sasa think Kiambu ama Kirinyagaâhuko demand iko juu, but competition ni light. Plan smart, chagua spot inafiti hustle yako, na uende zone yenye hustle yako inaweza grow bila stress mob.
Takeaway: Hii life ni kama ku-swimâukijipata in deep water, look for a spot where the water will carry you, without pulling you down. Find that sweet spot that lifts you up, no stress. If a certain market is too tight, usilazimishe. Chill, find another lane where itâs easier to maneuver in. Smart moves ndio zitakufikisha mbali, fam. Stay sharp and make each step count.
đ Diversification Ni Key, But Stabilize Kwanza
Mary alikataa hiyo mambo ya âstick to one idea.â She said: âDiversification ni weapon ya winners.â Lakini usikimbilie kila kitu bila kupanga. Even for her, animation ndio baby yake, but ameanza kupanga hustle zingine:
⢠Teaching animation (hustle #2)
⢠Selling clothes (hustle #3)
⢠Kufungua restaurant (hustle #4)
Imagine hustle yako kama mse ana-play FIFA: lazima u-control player wako main vipoa before you pass the ball to another. Ukiingia bila foundation solid, unacheza game ya loss. Kila hustle ina-need msingi imara ndio ujenge juu bila kuanguka. Plan kwanza, then execute smart.
đď¸ Brianâs Truth: "Feedback Inakujaza Nguvu"
Brian Salim alitupea point kali kuhusu motivation: âFeedback ama appreciation ya customer ni drive yangu ya kila siku.â Hiyo smile ya client ama simple compliment inaweza kuwa enough kukuinua from Monday blues to Friday motivation.
Challenge yako? Cheki, tumia WhatsApp yako ama dive kwa DMs za wasee. Waulize wanafeel aje juu ya kazi yako. Feedback yao ndio itakusaidia kurefine strategy yako. Sometimes, the real gems are in those DMs. Hapo ndo mtu atakwambia venye unambamba juu ya kuuza kama pro.
đPerpetuaâs Artistry: Talent + Heritage = Zone đ§şđ¨
Perpetua Omare ni kama Picasso wa Kenya, lakini kwa knitting na weaving. Yeye ni artist, na talent yake ni a family legacy. Alisema straight up, âArt iko kwa damu yangu.â Now imagine wewe, ukishikilia hustle yenye iko kwa bloodline yakoâhuwezi flop, bro/siz.
Lesson ni gani hapa? Usidharau zile skills na vibes uliona ukiwa mtoi. Kama uliishi ocha na watu walikuwa wanaenda kwa farm daily, maybe hiyo ni gateway yako kuingia agribiz bila stress. Ama kama ulilelewa na mechanic kwa base, maybe fixing rides ndio lane yako. Iko tu kwa roots zakoâplay smart na hio heritage.
Takeaway: Sometimes, zone yako iko kwa roots zako. Chukua time kuelewa history yakoâhustle yako inaweza kuwa hapo
đŽ Truths Za this Week: Find Your Zone in Style
Hii ndio cheat sheet ya hustling life:
-
Passion Is Fire: Kama hustle haikubambi, utashindwa kuishikilia fiti juu ya stress. Look for something you would enjoy doing even for free.
-
Skills Ni Base: Kujua skills zako ni kama kuweka foundation na cement safi. Bila skills, unajikaza tu na kuuzia wasee hopes. Skills ndio hufanya hustle yako ishine na uweze ku-deliver bila story mob.
-
Market Is King: Fanya market research kama FBI. Chunguza hadi corners. Ujue gaps ziko wapi na ufigure venye utaingia kuzifill. Hapo ndio game yako itakuwa on top na hustle itakuwa steady.
-
Feedback = Power: Customer reviews ni energy ya game yako. Usignore.
-
Diversify Safely: Like Mary, build one hustle vizuri before uongeze zingine kwa plate yako.
đ CHEZA NA HII CHALLENGE
Find a blank piece of paper na uchore hizi circles tatu:
-
What do you love?
-
What are you good at?
-
What will people pay for?
Cheza nayo hadi upate answers za hustle yako. Share hiyo discovery na community kwa social media na hashtag #MESHBizClass. Hapo ndio community itakuchanua na feedback.
Final Thoughts: Zone Yako Iko Wapi?
MESHers, kupata zone yako si mambo ya shortcuts. Ni journey ya kujitafuta na ku-discover what clicks with you. As Mary alisema, âIf it keeps calling you, thatâs your zone.â Na kama Neil alisema, âHakuna biashara easy.â Kujituma ndio itafanya upite kila challenge na obstacle mbele yako.
This is the time to take control of hustle yako. Zone yako ndio key ya kufungua future yenye inashine kama maflash za mat za CBD usiku. So, whatâs your zone? Jitume, twende kazi! đŞ
Kama uli-miss session ya week 1 on how to find your zone. Cheki details za week 2 live session on Thur... on how to find your customers
Share zone yako na MESHers. Use #MESHBizClass to inspire na ku-connect na hustlers wengine. 2025 ndio year ya kujua zone yako na kuishikilia! đđĽ