My name is Joan Tungani, 29 years na niko based Kawangware, Nairobi. Nafanya biz ya kuuza viatu za mitumba specifically, za ladies na za watoi. Currently sina shop so mimi hu-sell place yoyote ikona flow ya watu wengi na at my free time napenda kuskiza gospel music.
Day yangu hu-start at around 06:30 am nikiendea stock Gikomba market na the reason ya kuenda mapema ni ndio ni-get mali safi. Nikishamaliza kuchagua, naenda base yangu ya job at around 1pm naosha viatu nilichagua then at around 3pm ndio na-open job officially, naweka viatu zote kwa display then nauza hadi 9pm. Hii biz nilianza na 2k which nili-manage ku-get 20 pairs of shoes na after ku-sell zote, nili-get double of my initial investment na biz yangu ili-manage ku-grow. Hua nauza thru FB na Whatsapp ndio niweze ku-make maximum sales at the shortest period.
Lessons nime-learn kwa hii biz ni that time keeping ni important. Hii ni job inahitaji bidi since lazima viatu zioshwe kabla kuanza sales. Make sure u-learn preferences za customers ndio ukienda soko ku-buy, unachukua viatu zita-move chapchap. Time sina customers, hu ana-post pics online so in case ni-get client hua na-send mtu wangu wa delivery ndio nisave on time.
Advice yangu kwa watu wako interested na hi biz: 1️⃣ Kua msee wakuenda soko mapema ndio u-get quality staff (Kama unahitaji contact za plug wangu gikosh unaweza reach out).
2️⃣Understand customers wako wanapenda shoes type gani na u-mix sizes.
3️⃣Kama unaweza, tafuta msee atakusaidia job since ni tiresome na time consuming.
Kama ukona questions ama uko interested na hii biz, tunaweza chapiana kwa comments or DM me @[Joan Tungani] ama contact me via 0704526734



