š¤ Biz ya Play Station ni poa?
šŖ Roy Kanyi amefika KM, pale Kenyatta University kuchapiana na Francis, owner wa biz ya PS.
š Watch hii video usikie vile anamake chapaa mob bila pressure!
š£ļø Ikikubamba, tushow next biz unadai tufanye review.
