Back in the days in highschool we learnt about kitu inaitwa Mosaic and Collage, so far nimeona hizi ndio the simplest and cheapest art unaeza do. Collage ata haitaki complications mingi, hii unatafuta tu different materials kama photographs hivi ama newspapers unastick kwa board to create a picture ama story, Mosaic nayo unachukua tu stuff kama egg shells unazipanga vizuuri, and paint to create a picture, alafu you frame then peleka pale exhibition, pesa buana. Pesa.
Frame 1: Collage Frame 2: Mosaic

