logo

#Deal chap chap - naitwa @[Amos Nzyoka] natafuta msee ako #Gikosh ana-deal na #Biz ya #Viatu inform of bales aniunganishe niwe nachukua mali na bei poa aki.

Juzi nilikua na experience mbaya nilichukua bale na 7,800/- nikapata iko na only 33 pairs ikanipeleka loss mbaya.

Tuchapiane hapa kwa comments ama tu-connect kwa profile yangu @[Amos Nzyoka]

#TuchapeBiz #TukoMESH #TukoSorted

Comments