FL Studio Vs GarageBand vs Ableton Vs Bandlab? Unatumia software gani kupiga beats ama kurecord? FL Studio ni OG, Ableton ni ya wenye wako serious, GarageBand ni free na easy…Bandlab ni best kwa mobile, Unaprefer gani na kwa nini? Pia unatumianga plugins gani sana? @[Kivaya Josiah]
