logo

Most of us tulienda shule cause tuliambiwa masomo ni kila kitu! It will open doors na itakufanya ukue successful!!

To some extent ni ukweli but personally na-believe life skills ni muhimu pia, cause kuna wasee wamekua successful through their life skills!!

Click link u-watch the full video alafu tuchapiane kwa comments. https://mesh.life/app/watch...

Thumbnail

Comments