logo

Okay for me I graduated December .so ilibidi nikam home nichill .January nayo ikaingia that is now 2025.sema njaa ya pesa kunipiga January .so two years ago nilikuwa nimepanda miwa sikuwa mingi but around 12 groupings .mm nikaamua nichukue wheelbarrow home na nikazikata izo miwa to pieces za 10 Bob each per piece . The first day ya kuingia roadi kuuza na kutembeza I made 760 in a span of 2 hours .That full week niliuza miwa and I had made around 3300 kwa miwa site zilikuwa kwa shamba . From Jan to Feb tukaingia sports za primary na public I had to start looking for miwa as I sell .it was a good business . Miwa iko na Doo . Sai nimepanda miwa mob na naipea tuh duration ya 2 years nifungue base ya juice Tao . God will lead me on this I trust . Generally farming na pia ukijituma kwa bizz iko na Doo

Thumbnail