logo

Sup wathii. Ningewaita Meshers but since tumespend some time na nyinyi apa kwa ii platform pamoja now, acheni Niwaite fam. Anyway, mi ni artist/illustrator, azin mi hukam up na own ideas from my mind then nazi-manifest kwa ground. So ii ndio hustle yangu esp given sai stori na economy, mi huuza izi cards. Zinakam in varieties coz ni all about kugenerate idea then naiprint down kwa cards, no copyright. Nmekuwa biz since March na so far so good. ART inalipa maguyz. Si lazma ushinde ukitrek kutafuta hustle yet unaeza come up na kitu yako tu unique kwa market na as long as wasee washaipenda ni ivo. Kwa siku mbaya, nasell at least 6-9 cards for Ksh375/= only each. Main focal point inakuwanga kucreate kitu very rich in experience, coz fosho clients wangu husmile before wamake a purchase and that's the trick in biz. Unacreate sth rich in experience despite the size. So, na-urge wasee esp yutmans ka mimi, sai tuko era ya Information, kitu mapero wetu hawakuget yet walimanage kufanya mambo yao adi apa tuko. Take advantage ya Phone. Ka hauna smartphone kuna cybers everywhere na net, kuna well established platforms sai za kuget all info una-need, Google, Discord, Yt, X ect, zote tunaeza access for free. So kabla tucomplain sana, first tushukuru tuko kwa Nation free, enye kumake it ni rahisi coz tukona all the tools needed, haijalishi ka we ni graduate ama dropout. So tukam up na ideas, tupige research, na tukue creative na innovative then tu-leverage techology coz izo ndio skills za 21st century if we are to make it.

Shindeni tight.

ThumbnailThumbnailThumbnailThumbnail