Wozup Wazzup good people ππ imekuwa long time tangu tupatane hapa #Brian's Health Corner ππππππΆοΈπ½π₯,,,
#nimewamiss vinoma sana but am back with a bang πͺπͺπͺcheki acha tuzame kwa basicsπ―leo nikushow #importance ya kuweka #Garlic π§π§ kwa food yako,,, 1.Inasaidia sana kupunguza blood pressure hii ni both high and low blood pressure ,, 2.Huboost immune system ya msee,,like diseases hazitakuweka chini virahisi 3.Wasee wa kuambukizwa #homa ovyo ovyo hapa kuna remedyπ― 4.Husaidia #brain yasee kufunction normally na pia kuactivate nervous system yakoπ₯€π₯€ 5.Madem wetu #pimples should never be a threat anymore π€π€
For this and more keep it Brian's Health Corner πππ tujenganeπ―π―
