๐ฅ Best of Mesh: June Edition โ Zile Story Zilizabamba ๐ฅ

June came through like a plot twist in your favourite series, money moves here, side hustle gems there, and big opportunities you didnโt see coming.
Want these hot reads, fresh opportunities, and real talk straight to your inbox every month?
๐ Subscribe to the Best of MESH newsletter and never miss a beat.
Whether you were scouting new investments, thinking of starting a hustle, or just levelling up your skills, these were the reads that had everyone talking.
Ulimiss hizi topics? No stress. Weโve rounded them up so you can catch the vibe and maybe find your next big idea.๐
๐ธ Most Debatable
Safaricom Ziidi: Should You Invest in It to Earn Daily Interest?
246K views na bado watu hawajakubaliana. Wengine wanasema โziidi ni pass ya daily interest,โ wengine wanashuku โhii ni red flag.โ Wewe unadai aje?
๐ [Convo iko hapa]
๐ Most Inspiring
Beekeeping Becomes Big Business (with a Little Help from Tech)
Kutoka kwa honey pesa hadi smart gadgets za ku-monitor mizinga, hii story ilionyesha vile hustle ndogo inaweza ku-grow hadi empire.
Ukiwahi fikiria โfarming si yangu,โ jaribu uone.
๐ [Cheki story hapa]
๐คฏ Most Mind-Blowing Breakdown
Hidden Costs: How Safaricom Products Eat Into Your Money Without You Noticing
Tawi alishare screenshot kutoka X na kila mtu akaanza kufikiria mara mbili:

Safaricom fees kwa Buy Goods, Fuliza, na withdrawals? Wueh, inakula wallet kimya kimya.
๐ [Tuchanuane hapa]
๐ฒ Most Actionable
How You Can Turn Your Cooking Skills into Cash Fiti
Kama pilau yako inaslap ama mandazis zako zinaisha haraka, si uanze kuuza officially?
Hii guide imekupea steps bila pressure ya capital kubwa. ๐ [Form iko hapa]
๐ Biggest Free Opportunity
Microsoft Course + 1 Year of LinkedIn Premium FREE
Reel ya David ili-stop timeline. Certificate legit kutoka Microsoft plus LinkedIn Premiumโna haulipi ata shilingi. Perfect kwa kuongeza skills na CV yako.
๐ [Aki please usipitwe]
๐ฒ Most Relatable Post
Jamila Wamboi alitupa hii line ikabamba kila mtu:

Comment section ilikuwa pure comedy.
๐ [Tushow views zako]