🙌 Biz of The Week: Black Picasso


Niaje Fam! 🔥
#BizOfTheWeek on MESH ni Brian Mokua aka Black Picasso 🖤🎨
Ni artist mnoma anadeal na all types of canvas – whether ni Tattooing, Drawing, ama Painting. Anafanya kazi kali sana.
📍Ako Syokimau, so kama unadai custom tattoo, portrait, ama mural ya ku-spice up walls zako – huyu ndo plug!
💪 Link up na yeye on MESH hapa:👉 Black Picasso