🙌 Biz of The Week: David Michuki


Niaje Fam! 🔥
#BizOfTheWeek on MESH ni David Michuki na biz yake Green Mwangaza.💡
📍 Syokimau – Kiungani Road
Wana-offer solar na green energy solutions – wanakutengenezea quotation kulingana na size ya system unadai.
Wanadeal na small, medium hadi commercial solar setups – zote ziko covered!
☑️ Free consultation juu ya system size
💰 Affordable
🛁 Plus, wanafanya solar water heaters na pump systems!
Link up na David on MESH hapa: David Michuki