🙌 Biz of The Week: Eugene Murithi


Niaje Fam! 🙌
This week on #BizOfTheWeek tuna feature Eugene Murithi.
Anafanya rabbit farming (cuniculture) huko Meru 🐇🔥. Ni hustle inaweza?
Kama unataka kujua more about rabbit farming ama kama ni biz poa, ako ready ku-share tips. 💪
Link up na yeye hapa: Eugene Murithi