🙌 Biz of The Week: Ian Kibet


PLEASE EDIT/UPDATE THE ARTICLE!
PLEASE UPDATE ARTICLE!
[https://media.mesh.life/mes...]
Niaje Fam!
This week’s #BizOfTheWeek on MESH ni Ian Kibet!
Anafanya Agrovet biz in Nairobi, akiwauzia farm na animal products kwa wale wanafanya kilimo na ufugaji.
Kama unatafuta mbegu, dawa, ama animal feeds!
💪 Link up na yeye on MESH hapa: Ian Kibet [https://mesh.life/app/profi...]