Niaje Fam!
🙌 Biz of The Week: Ibrahimu Mswahili
#BizOfTheWeek on MESH tuna-feature Ibrahimu Mswahili.
Ni influencer na huwa ana-promote brands on social media. Pia huwa ana-design na ku-sell leather sandals.
💪 Link up na yeye on MESH hapa: Ibrahimu Mswahili