πCongrats to our #AIInMyDay challenge winners! π


Wueh, MESHers mlishow vile AI inafanya kazi kwa ground; kutoka kwa hustle hacks hadi vile ina-simplify your lives!
From ChatGPT to smart edits, mli-share how tech is helping you move smart π‘ππΎ
Asanteni kwa kushare genius moves; zote ziliweza! π―
πͺπΎ Form bado ni ile ile: Kujengana na kuskuma mbele!
ππΎ These are the Top 5 posts that killed it:
-
Kiliswa Bon
-
Joyce Nyakura
-
Ann Nanjala
-
Sule Carpenter
-
Timothy Muliro
ππΎ Shoutout kwa 6β10 walioscoop Ksh 100πΈ
Na 11β20 wali-get Ksh 50; kila AI tip ni win!
Keep learning, keep leveraging; your hustle is future-ready! πβ¨

PS: To all our challenge winners, make sure to check your email. Tumetuma email to confirm you have won! Pesa itatumwa kwa number uli-register nayo MESHπ