Credit Alert: Biz Loans By Jiinue Zimerudi! Apply Now!

Niaje MESHERS! Uko na biz yenye kwa a physical location in Nairobi na unahitaji loan kui-grow?
Unadai loan ku-boost stock, kufanya marketing, ku-buy equipment ama ku-expand shop yako, hii ni chance yako!
MESH ime-partner na Jiinue Growth Program kuletea MESHERS affordable business loans.
Ina-work aje?
✅ Step 1: Watch video, soma article, take quiz
Make sure ume-watch reel, umesoma article na umejaza quiz:
🎥 Watch reel: Choosing the Right Loan
📱 Soma article: Smart Borrowing Tips
📝 Jaza quiz: Loan Readiness Quiz
✅ Step 2: Pre-Qualify
After umefanya kila kitu kwa step 1.
Click "Apply" on MESH App na ujaze form yako.Tutapitia application yako then give you feedback.
✅ Step 3: Jiinue Team Takes Over
Ukisha pre-qualify, Jiinue Team watakupigia simu na kukushow the next steps.
Una-qualify Aje?
✔️ Umefanya kila kitu in Step 1?
✔️ Lazima umekua ACTIVE on MESH for at least 6 months. (Posting, commenting, upvoting, watching reels etc).
✔️ Biz yako imekuwa running for at least 3 months.
✔️ Uko Nairobi na uko na physical business. (Jiinue Team wataku-visit).
Loan Details
Jiinue Team watafanya checks and then decide una-qualify ku-get loan ya how much.
💰 Amount: 5,000-100,000 KES
📆 Duration:6,9 & 12 months
💵 Interest: 0.83% per month
CLICK HAPA KU-APPLY FOR BIZ LOAN BY JIINUE
Kaa Rada! Avoid Kuwa Scammed By People Pretending To Work With JIINUE Or MESH!