Details Zote Za Jiinue Loans Application Process!


PLEASE EDIT/UPDATE THE ARTICLE!
PLEASE UPDATE ARTICLE!
[https://media.mesh.life/mes...]
-
Apply on MESH - Kwa opportunities section: APPLY JIINUE LOANS HERE [https://mesh.life/app/oppor...]
-
Unblock MESH kwa promotional SMS zako.
Kwa line yako ya Safaricom, dial 4569*5#, Reply with 4, Activate sender by name, reply with MESH, send.
-
Utaget SMS & also DM on MESH. (Ukimiss SMS, please check DM yako on MESH).
-
Dial *CODE# na line yako ya Safaricom.
(USE SAFARICOM M-Pesa NUMBER LOAN ITAKUA SENT). Unafaa kua na credo ya 7 bob atleast.
- Jaza details zako.
Please Note:
-
BE CAREFUL ukijaza names and numbers zako na pia za references wako. (Ukikosea details unaweza kua DISQUALIFIED)
-
Reference ni mtu anaweza pigiwa simu na Jiinue team as your referee; he/she must know you. eg family member, husband or wife, colleague.
-
Process ina-take time long kiasi ku-process watu wengi sana wame-apply. Days zinakua counted from Monday to Friday bila ku-count weekends. (Day 1 ni after ume-dial code na kujaza details zako. i.e. name, ID, references, ID zako etc.
-
For questions and support: Please call Jiinue team na 0111113001 from 8-5pm from Monday-Friday or send an e-mail to: jiinuesupport@4g-capital.com wata follow up.
Elevating and Empowering Youth MSMEs.