On a good day, Mercy anatuchanua unaeza unda around 5-10k.
Pia kuna time kazi inaeza kataa kabisa na ukose kakitu.
Ile time unaanza, range ya pay inaeza kuwa as little as 100, but unapo-progress pay inapanda hadi 1,500 na from hapo italingana na vile unajituma.