Kwa hii biz ya Titus, yeye u-face several challenges, with ile common kuwa, clients wana overlook his services, and upon kuwafikisha kwa their destination wana disputer the fare, waki-claim ni karibu. Another significant challenge, ni risto yakuwa harassed na makarao.