Is Freelance Hairstyling A Good Biz?


PLEASE EDIT/UPDATE THE ARTICLE!
PLEASE UPDATE ARTICLE!
[https://media.mesh.life/mes...]
Karen Nyambura Kiragu ni self-taught freelance hair stylist na ana-run biz inaitwa Nairobi braider. Leo ana-share na community initial investment yah hii biz, challenges, profit na kwanini ana-encourage ma-youth ku-start hii biashara.
Cost ya Ku-start?
Karen anadai ku-learn braiding si hard, hakuenda shule ku-learn. Alijifunza vizuri through YouTube ndio aweze ku-attract customers, though ilibidi anununue tool kit na a-make sure ikona all the necessary equipment. Tool kit ilim-cost Ksh 7,000.
Challenges?
Just like any other biz as freelance hair stylist ana-experience challenges;
1.Kuna styles unafaa ku-make before appointment na unaweza get client hata-show up so una-end up ume-make loss na kupata client anadai the same hairstyle ni hard.
2.Competition ni mob. Kila kitu iko available kwa internet, so everyone anaweza learn hii biz which in turn ina-make ku-get clients hard.
Profit?
Since biz ya Karen ni mobile, profit yake hukua around 80% cause halipi stima, maji na rent. Depending on hairstyle client anataka, profit hu-range from Ksh 1500 – Ksh 5000
Advantage ya hii biz ni;
1.Referrals – Clients wakiwa satisfied, una-get referrals mob
2.Flexibility – Since hulipii rent, stima na maji, una-end up ume-save a lot. Also, ni a good side hustle kama ukona job.