As per Steve, the initial investment yenye alianza nayo ilikuwa 300 bob, yenye alitumia ku-buy lipsticks na kuuzia mabeste zake. From hapo, akaona hii biz ikiwa viable idea and aka invest 5k kubuy ingredients, packaging na branding. Hii initial investment haikulipa immediately, juu bado aliandelea kuongezea more capital. However, over time hii dough yake yote ilikuwa recovered.