Is Selling Ice Cream a Good Biz?


PLEASE EDIT/UPDATE THE ARTICLE!
PLEASE UPDATE ARTICLE!
[https://media.mesh.life/mes...]
Julio Ogutu is an entrepreneur running an ice cream business located in the Donholm area of Nairobi, specifically in Police-line. His journey into this venture was inspired by an article he read about global warming and its potential future effects.
This sparked an idea in his mind—why not start an ice cream shop? His experience working with people in the ice cream industry further fueled his passion and gave him the motivation to start his own business. Prefer watching this as video? Click here. [https://mesh.life/app/watch...
How did Julio raise capital?
Before ha’launch biz yake, Julie alikuwa employed na aka’took a disciplined approach ya ku’save doh zake. Once ali’save a substantial amount, ali’decide ku’resign from hio job. "Nilikuwa na save doh polepole kwa hio wira nilikuwa nafanya," he explains. "Ile pesa nilikuwa nime save kidogo nikaongezea ingine through loans [https://mesh.life/app/viewa...] hapo ndio niliweza ku’raise hii capital.” Ku’set up hii biz ya ice cream ilim’cost kitu Ksh 120,000.
Do you want capital to start a biz? Here are top tips [https://mesh.life/app/viewa...] from Otachi.
Who are his customers?
Alipofungua hii biz, his immediate customers walikuwa neighbors wake. Walim’support kwa ku’purchase his ice cream, making them kuwa his primary clientele. Additionally, alikuwa pia ana serve wapita njia along the busy road karibu na shop yake, mwanzo on Sundays ile time traffic kwa mtaa yake iko high. "Customers wangu walikuwa immediate neighbours, wenye wako hapa karibu, hao ndio watu walikuwa wanani’promote sana kwa hii biz”, Julie says. " Wengine naeza sema ni hawa wapita njia kwa hii barabara. Ukuwaga very busy especially on Sundays, so kuna kuwaga na lot of traffic."
"Customers wangu walikuwa immediate neighbours, wenye wako hapa karibu hao ndio watu walikuwa wanani promote sana kwa hii biz” – Julie
What does he love most about being a business owner?
Julie ana’enjoy ile freedom ukuja with being his own boss. "Kitu yenye unibamba sana ni fact that mimi ni boss wangu mwenyewe," ana share. "Naeza jifanyia vitu vile nataka, time yangu pia iko beyond limitation, unlike place nimeandikwa kazi."
What challenges does he face?
Moja ya ile major challenges kwa hii biz ukuwa ni power outages. Since ice cream zina’require constant freezing, power interruptions inaeza leta significant setback. "Stima ikipotea inakuwa noma juu ice cream inafaa kukaa frozen," Julie ana’explain. "Hio time ndio unajua unaeza pata hasara mbaya." Challenge ingine ni the slow business growth kwa mtaa yake. Compared to busier locations kama vile along major roads, customer traffic kwa hood yake iko relatively low. "So kupata wale client wengi wenye unaeza expect like sasa vile ukiwa kule mbele ya barabara ina’make a big different”, he adds.
What advice does he have for aspiring entrepreneurs?
Julie ana’emphasize importance ya kuchapa research kabla ku’start biz. "Kama unadai kuanza biz, fanya research ujue venye inaenda na itakucost how much," ana’advise. Pia ana’highlight need yam see kuwa na passion, juu kuna time biz ukuwa slow. "Lazima ukuwe na passion na kenye unafanya, otherwrise hautasonga nayo mbali. Kwa sababu kuna time unapata shughuli iko chini, kama wewe ni mtu hauna hio passion ya kupiga hio job yako itakuwa rahisi sana ku’give up," ana warn. Lastly, yeye hu’believes in putting God first kwa kila kitu, "Mungu mbele siku zote," ana conclude.
How has MESH helped him?
Julie alikuwa introduced to MESH [https://mesh.life/app/viewa...] through a friend, na amekuwa part of the platform for over a year. Ana’acknowledge kuwa ame’gaine a lot from MESH. " Before ata nianze hii biz nakumbuka nilikuwa nimeshare na watu hapo mesh about hii idea ya kuanza hii biz na watu walinisaidia na ideas," ana’recall. "Naeza sema mesh ni platform mzuri kwa wasee wote wanataka kuanza biz."
Hii story ya Julie imeku’nice? Unaeza check hizi link kuget more information yenye ina relate na journey ya ku’venture kwa Ice Cream biz;
1️⃣ How to Start an Ice Cream Business in Kenya [https://www.nexinstartups.c...
2️⃣ How To Ensure You Appear Legit To Your Customers [https://mesh.life/app/viewa...
3️⃣ Ice cream vendor earns Sh1, 500 per day [https://www.kenyanews.go.ke...