Karibu Tubonge: Staying Sane In Business!


Niaje MESHERS! Society na culture zetu hu-maintain mwanaume ni kujikaza tu!
But unfortunately, tunajua kuna times biz na life pressure huwa too much.
MESH wana-support men, tuweze ku-keep things going fiti bila worry vile inafaa!
Welcome to a men's only group meeting chat on Thursday 4th April, 8pm-9pm online.
Tokea tuchapiane confidentially na tubonge kuhusu different challenges una-face in business and life.
Karibu sana, alafu share mabeshte na mbogi pia! CLICK HII LINK KU-REGISTER