Savings Tips By MESHers For 2023


Savings ni kuchukua doh zako at the end of the day/week/month depending on income yako, na kuziweka kando for future use.
Cheki👇🏽hizi savings tips MESHers wali-learn😃
1.Cate Kadimples ana-suggest ku-save na Locked Savings Account. Hii ni account enye msee huweka doh na huwezi withdraw till a specific amount of time enye ume-agree na bank; inaweza kua one or two months ama ata six months depending on wewe mwenyewe. A good example ya locked savings account ni m-shwari. Advantage ya locked savings account ni ina-encourage discipline in saving cause msee hakui tempted to withdraw pesa.
2.Chama. Consolata Achieng ana-encourage ku-join na ku-save na chama. Kwa hii method, unakam pamoja as a group; inaweza kua friends, family ama neighbors. Kwa chama kuna system ya merry-go-round, depending on group yako, mnaweza decide amount ya kuchanga na inaweza kua daily, weekly, ama monthly alafu mna-rotate vile kila msee atapata doh.
3.52 Week Challenge ya M-shwari. ProIT Solutions Kenya ana-advise MESHers to participate kwa 52 Weeks savings challenge. 52 week challenge ni ile every week of the year una-deposit doh kwa M-shwari yako! Every week till the end of the year, unaweza choose ku-deposit 50 bob, 100 bob or 200 bob depending on income yako.
4.Multiple Savings Accounts. Graffine Ambunya ana-suggest msee akue na multiple savings accounts/methods especially kama ukona biz. In his case kwa biz yake; ame-separate payment methods in two; Pochi la Biashara na Equity Mobile. Pochi la Biashara ni ya ku-run biz customers waki-pay through it na Equity Mobile ni locked savings account, so customers waki-pay hapo ni savings na hawezi withdraw.
5.Fixed Deposit Account. Ted Waweru ana-share advantage ya ku-open fixed deposit account instead of normal savings account. Fixed deposit ni account unaweka doh for a period na io period ikiisha, una-gain interest depending on rates za bank yako. Hii ni advisable cause savings zako zina-grow, unlike savings account.
From the tips shared, unaweza decide how you want to save depending on income yako! Kama ukona better ways za ku-save, share below kwa comment juu form ni kujengana 💪🏽
Kusoma articles zingine za nguvu kama hii hapa MESH, Cheki hapa