Unatafuta Effective Strategies Ku Boost Sales Zako?


Kuwa na effective strategies za kutumia kwa biz ni important sana.
Ukizi-apply poa, utaweza ku boost sales, ku-learn, ku-grow na pia kujua what works for you.
Karibu kwa session ya Mercy on Jenga Na Deloitte this Friday, September 1st, 2pm, online!
Uta-get ideas, tips na strategies zina-work. Come through na pia invite mabeshte tujengane.
Ku-join session, tumia hii link: https://deloitte.zoom.us/j/...