Will AI and TECH Take Over Hustles as we think? – Best of Mesh September Edition


September was a mix of real hustles and scary future questions.
MESHers were chasing side incomes, testing survival hacks, and asking if AI will kill or save their businesses and is it hard to integrate AI and tech to your daily lives?
From cab hustles to free apps to AI vs writers, here’s what Kenyan hustlers couldn’t stop reading.
📱 Most Useful Plug – Free Apps To Grow Your Biz? ( 745K Views)
Wasee 95K walishangaa na list ya free apps zinasaidia ku-run biz bila kulipa doo. Kutoka design hadi accounting, hii guide iliambia hustlers wa mtaa: “si lazima uwe na machine kubwa ndo ufanye kazi smart.”
🌍 Most Proud Moment – Can Local Hustles Go Global? (717K Views)
MESH hitting TED.com was the real flex. 96K Meshers celebrated as Kenya’s own story went international. Streets zikasema: “kazi safi ya mtaa ikipangwa fiti, inaweza kuenda global bila apology.”
🚗 Most Relatable Side Hustle – Cab Driving, Worth It or Nah? (556K Views)
Uber/Bolt imekuwa default side hustle. Lakini kweli inalipa? 75K MESHers waliingia kwa deep dive.
Wengine wakasema inasaidia bills, wengine wakasema ni stress ya fuel na apps na wengine wakasema joh macustomer wanachoma. Cheki hii story

👉 Download the MESH app Google Playstore. Ni 2MB!
👗 Most Inspiring Hustler – What Can Fashion Hustlers Learn from Neil Shem? (517K Views)
Mtumba na tailoring ndio basic hustles za mtaa. Lakini lesson ya Neil Shem ili-show wasee vile ku-brand na consistency inaweza kukupeleka mbali. Wachana na ile uongo ya mafundi wa nguo wa mtaa.
💸 Most Needed Breakdown – Which Loan Won’t Drown You in Stress? (485K Views)
Unajua vile bank hucheza na kizungu mingi hadi uishie kulia? 162K Meshers walijipata na street guide ya loans bila drama.
From loans kwa SACCOs za hood, bank loans mpaka zile apps za digital. Hii ndo manual fiti ya kila msee mtaa akitaka ku-move bila kufungiwa na debt.
💵 Most Motivating- Can You Start a Legit Hustl... ( 482K Views)
Hakuna excuse ya kusema “sina capital.” 71K Meshers walicheki hizi ideas za kuanzisha biashara legit na 10K tu au less.
Msee anaanza ka-fast food joint, mwingine online thrift, returns zikicome steady steady.
♻️ Most Eye-Opening – Is Electronic Trash the New... – 441K Views
Simu imebeat, charger za kitambo kama ile ya pin ndogo, microwave ilikufa etc kumbe ni goldmine? 73K MESHers walishangaa kuona vile e-waste inaweza kubadilika kuwa rent money. Streets zilibaki na macho juu ya hii.
🍳 Most Overlooked at Hustle - Can Kitchen Skills Pay the ... – 196K Views
Chapoz zako huslap mbaya? Mandazi huishanga kabla ikae kwa tray? Basi uko na ATM kwa jikoni. 84K MESHers walilearn vile gas, unga na skills kidogo zinaeza kumake doh daily. Sio jokes, jikoni ni side hustle legit.
📝 Most Debatable - Will AI Replace Kenyan Writ... – 191K Views
AI ili-raise tension. Je, itaiba side hustles za wasee ama ita-open fresh gigs? 29K MESHers wali-debate hii—na wengi walijiona kwa story juu writing ni hustle yao ya ku-survive.
🗣️ Takeaway Ya September
MESH streets zilichemka na hizi hustles—cab, mtumba, kitchen—lakini pia zilikuwa na fear ya AI.
Swali ikabaki: utaendelea kuskuma hustle ya mtaa ama uta-blend na AI ndo ubaki safe kwa future?
👉🏽 Stay plugged in—subscribe kwa newsletter upate hizi gems before timeline ichome.