logo

#1 Safety ya MESHERS ni number 1

There is no place on MESH for pirated content, scams, illegal trade, or criminal activities. Job or money-making opportunities without verifiable details will be removed. DM Spamming/scamming; We suspend users that send DMs more than MESH weekly average. We report all illegal activity on MESH to the authorities.

#2 MESH is the home of the hustle - huwa tunabonga kuhusu all things biz

Please keep story zako on topic. MESH sio place ya ku-post na ku-share your sexy pics, political views au cute cat memes (unless una-plan kuanza biz ya cat memes lakini😉).

#3 Keep it 100

Be honest about wewe ni nani na kwa nini uko hapa MESH. Huwa tunatumia real personal profiles na business profiles. MESH hatukubali wasee ku-con au kudanganyana. Imposters watakuwa banned.

#4 Sisi wote ni MESHERS hapa

Unakaribishwa hapa, no matter what you believe in, who you vote for, uko na pesa ngapi, au biz yako ni kubwa aje! Hatuzuii wasee based on gender, religion, kabila, sexual orientation au chama cha siasi. Tuna-expect members wote waheshimiane. Ukitumia sauti yako kuumiza, kuonea, kutisha, au kutishia MESHER mwingine, utafukuzwa!

#5 There's more to life than biz

Kujenga biz sio kutafuta pesa tu - Ni about building communities zetu. MESHERS huwa wana-share knowledge na experiences zao bila any benefit kwao wenyewe. Form ni kujengana, so wajenge pia ukiweza- on au inje ya MESH.

#6 Hii ni MESH world

Sheria zetu lazima zifuatwe. Violation ya hizi sheria zote itafanya ukule warning, post(s) zako zitolewe, ukue suspended, ama upate permanent ban on MESH.