
Gig Alert: Field Sales Agent (Kisumu County)
Field Sales Agent – Solar Spark KE
Kama uko Kisumu County, hii gig ni yako!
Help Schools Go Solar & Get Paid!
Huwa una-enjoy ku-meet new people, una-believe in clean energy, na unataka ku-earn doh on your own terms? Solar Spark KE wanatafuta MESHERs kama wewe ku-help schools switch to solar power.
What You’ll Do:
🎯 Talk to schools in your area (primary & secondary)
⚡ Help them understand how they can get solar power through affordable payments 💰 Earn 3% commission for every school that signs up — no limits!
Solar Spark KE watakupatia:
✅ Free training
✅ Sales materials
✅ Ongoing support
Hii gig ni yako kama:
✔ Unaishi in Kisumu County
✔ Umemaliza college ama university
✔ Uko na confidence ya kubonga na school heads and principals
✔ Uko na sales experience
✔ Unapenda kubonga na watu and building connections
✔ Uko self-motivated na unaweza follow up on leads
✔ Unaweza fika kwa schools in your area
If uko Kisumu, unapenda kuongea na watu, na unaweza fika kwa schools in Kisumu. 👉🏽 Apply now