- Brand wok space yake according to products anauza
- Packaging ya products iwe appealing e.g asipack products kwa nylon bags aweke kwa clear packaging plates zenye zko branded
- Biz awake place ako easily seen na accessed na waters
- Awe understanding kwa needs za customers wake
- Usafi na kua consistent kwa biz yake ndo awe attractive na a pate customer trust ya wale daily customers
- Apange table/ shelf yake poa ndo customers waone products zake clearly for easy choosing .
0
0
0