
- Denno afanye market search. Hii itamsave kujua price range, dishes zinasell better, places hii bizna zinathrive most na itamprepare for challenges ataface. 2.Chora plan yako. This way utaweza kufocuss on essentials zile vitu unafaa kuprioritise on and in your plan find ways zitakufanya ustand out. 3.locate a place for your biz mfano kariba na hizi sites za mjengo or boda stage. If you did a good market search hauta kuwa na shida hapa.
- Uko ready na plan yako ushatambua base sasa unaeza register biz na uchukue the appropriate licence vitu kama food handlers cert kuavoid mambo mingi. 5.weka reasonable prices, brand biz yako kama utaaford but that can be done later pia, ultimate cleanliness na uanze biz. Customer service ikuwe number one na pia serve ile dishi ata wewe ukipewa utakuwa satisfied. Kwa capital I'd say start with what you have. I have seen people kando ya road with umbrella na jiko wamepanga but kama uko na 25000 huwezi kosa kakibanda mtaa na 10000. Vyombo pale za malimali mbao okota kadhaa. If you can afford good suffurias well and good but meanwhile kuna second hands pia you can look into. Jiko kama mbili za 600@ for a start na pia kuna techniques za kukeep food warm ndo usishinde ukiweka makaa pia look into. Na food staff pia bulk/wholesale is always cheaper except for the perishables. Opinion tu yangu 25k is good to go. All the best.
0
0
0