
-
First ukijukua bidhaa kutoka kwa wholeseler lazima ujue buying price yake ni ngapi. ukifika kwa duka yako confirm kama ni books ziko ngapi zote and then set fair price yenye itakuletea profit. price isikae juu sana ama jini yenye italeta loss.
-
unaeza fanya survey kwa area yenye umeeka biz yako ili ujue wengine wanauza aje. then ukishajua bei yao then utaeka price yenye inakaribia na yao. pia price yako isikae juu sana na ya wengine kwa hiyo area.
3.kama uko na dead stock itabidi umeeka kwa discount ili upate pesa ya kuletea stock ingine. hii nayo utaeka kwa relatively low price ili upate customers wengi although hiyo price isikae cheap sana.
4.kuwa na suppliers wenye wanakuletea Quality goods yenye customers wanapenda hii itasaidia for easy price tags.