
- Jua ground ya customer wako ndo mkue na platform mnashare pamoja ..common platform mnafanya biz vpoa ..kujua intrest zake esp kwa biz yako 2.kutrend na dunia ...emerging trend ..ukiwa on guard na hio clients wako watacommunicate by bringing more clients for you 3.i call it win ..win...situation ..nkikufurahisha im happy pia...which brings me to number 1..
0
0
0