
- Kulipa bs permit on time.
- Uki introduce new scope of work in same place ni fti kujulisha kanjo early in advance ndio wa include Kwa current payment.
- Good communication skills. A time unapata huna hio pesa ya permit, good thing ni ku visit office yao na kuwajukisha mapema.
0
0
0