
1.Let your selling price be customer friendly 2.Since kuna social media, post material yako ya biz kila place 3.Andika vibango vya bei ya kitu unauza 4.Eka biz mahali kuna demand ya hizo bidhaa 5.Share na beshte wako kuhusu biz yako nao wachapie wengine
0
0
0