
1.make sure uko na legal documents za county with that all the certificate wao hutaka. 2.make sure you operate within the area enye unafaa kuwa/allocated 3.just be friendly na welcoming nao and never show you are rude because hapo ndio mtavurugana.
0
0
0