
1 market biz kwa social media 2 ukienda place make people at least 5 know what you do na pia unawapee location ya biz yako 3 eka placards za kuadvertise biz kwa area near na far 4 love your biz na be passionate about it hii itapee customer confidence ya kununua kutoka kwako knowing that hii biz ni legal
0
0
0