
-
Samson should choose a great location with traffic of people, for example kama student center, market center or kama neighborhood penye watoi wako wengi.
-
Afanye research za different flavors za popcorn inorder to invite new customers, coz mostly many sellers huuza zile za kawaida.
-
Samson should choose a good price for the popcorn in order to drive his sales , coz wasee wengi wenye hupenda popcorn sana sana huwa ni ma hustlers with very minimal income capacity. Consider hata kama ni kupima ya ksh. 20 bob
-
Samson anaweza partner na sales person mmoja mwenye anajua kuongea na watu, especially madem. Someone mwenye ako na vibe POA ya communication, humor and fashion. Wasee watanunua popcorn hata kama hawataki.
-
Nyingine atafute pesa kidogo ya kununua good package papers ,hata kama ni kuhave it branded na jina yake. Inaleta some professionalism na brand awareness which is also good marketing strategy.