- Tunamshukuru Mungu kwa kutupa amani wakati wa maandamano na kulinda maisha ya wote waliohusika.
- Tunaipongeza jamii na viongozi kwa kuonyesha ustaarabu, mshikamano na heshima katika kutoa sauti zao kwa njia ya amani.
- Tunawashukuru maafisa wa usalama kwa kudumisha utulivu bila kutumia nguvu kupita kiasi siku ya Leo.
- Asante kwa wananchi wote waliojitokeza kwa amani, wakitoa ujumbe wao kwa njia ya heshima na busara.

0
0
0