
-
Unaweza introduce selling of football attires kama football jersey, socks, gloves za keeper, bibs zile team zinavaa wakifanya tizi, viatu za ball, zile sports bag that watu wa ball hubebea vitu zao . Tayari hizi vitu ziko na ready market ju hapo kwa stadium team mob sana wanakam kucheza.
-
Unaweza buy seats na pia tent to be used wakati wa tournaments. Unamake deal na team coaches na pia management ya hapo grao so that kukikuwa na upcoming tournaments ama activities wanakomboa izo vitu kutoka kwako at a fair price.
-
You can sell first aid equipment kama bandages, spirit, kaluma, pain killers ju most of the teams don't have such important items. Football at times ni rough game na players wanaumia so wakijua uko na izo vitu za fist aid watakuwa wanakupromote.