
#1000 challenge story . Making 1000 in biz ilikuwa furaha ingine kubwa sana.
Nilikuwa a primary student when first I achieved kufika 1k. Nilianza na ku save small small coins kw home. Bank. Then sikuwa patient Nika open before ikuwe full. Guess what ilikuwa imefika 400n Nika buy second hand phone kw black market ya 300. Nikauza 600 profit double. After apo nikaendea Tena ingine at a price of 300 tu Tena.. Nikauza 750 So Nikafika 1150..apo profit ikawa 750..then Nika pause with phone biz. Nika buy kuku wadogo wawili @200. Nikazi take care for 6 months hadi zikaanza ku tega mayai. After moja imeangua . Vifaranga after a month niliuza @ 150*10=1500. At that how I came to achieve my first 1000 shillings 😊 .. Nili soma. Kuwa to make cash u have to be focused on what you are doing and not what you wish to do.