
1000 CONNECTION
Nime hit the 1k mark. Shukran' saana MESH'er wenye mmenitumia connection and pia wenye m'me accept my requests. Mesh imekuwa platform noma saana and always looking forward kuona growth. And pia hio growth ya wasee wenye wanatujoin juu like team MESH oncr posted the numbers zinagrow steadily.
Proud Team #Tujijenge.
0
0
0