
10k investment
ntafungua choma zone. ntabuy jiko ya kuchoma nyama na mutura. pia ntauza supu na kiongo. hii biz ntaeka kwa soko next tu a butchery na kwa kufanya hii biz for some time i will expand it kidogo kidogo. pia ntaajiri mtu wa kunisaidia after biz imegrow ama kupik.
0
0
0