11:17 PM. 🌙
Biashara imefungwa.
Watu wamelala.
Wewe bado uko kwa M-PESA statements na receipts. 😅
Unajiuliza:
"Kimani alilipa kweli?"
"Tulipata profit leo ama tulichoka tu?" 😂
Wengi hudhani wanakosa usingizi juu biashara ni ngumu.
Wakati mwingine ni juu records haziko sawa.
Ukijua numbers zako, unaacha kubahatisha.
Unaanza kuamua. 💯
Ni nani amewahi jipata akifanya bookkeeping usiku? 👇
0
0
0