
15k Iko sawa kabisa,hata kama unalipa nyumba,cc madem tunapenda kungara,hasa mm vile hukuwa na addiction ya viatu Bora Kila time unaenda siko unaleta design deadly deadly,then ukitaka poa kuwa unaendea viatu kamkunji wanakuanga na #shoebiz Mali safi na upate supplier mpoa,hii ni biz poa sana na inalipa yaani hii ni sure bet,utajipata one day ukiwa supplier,halafu ikijipa uwe unapata time yakwebda pahali kama western siku ya soko manze utafurahi
0
0
0