
15k mkononi💪 1.Tafta location fty yenye iko very competitive kwa hio biz,,ukishapata plce ya kuweka we're ready to begin. 2.Jua clients wako ni kina nani🤔🤔kama ni madems unatarget leta #shoes zinaendana na madem ie color na type. 3.Kuwa na #Shimo utakuwa unapata hizo products 👆 ukishapata penye utakuwa unasource products zako utakuwa na easy time ya hata kuweka pre order ndio customers wako wasishinde wakinunua #Hakuna🤒 4.Kuwa trendy💯ukiendea ndula zako pale kwa #shimo usipick old school trend😮anguka na vitu zinatrend hio time. 5.Store yako,ni lazima utakuwa unaweka hizo slides kwa place ya display ama after sale penye zitakuwa #secure,,, unaweza buysha #chains za kuhang hizo viatu,ama utengeneze plain table ya kuzipanga kidesign🔥🔥 6.Attraction kwa biz yako ni muhimu sana,,,kuna zile sound speakers za sokoni,,,tafta kamoja #mount hapo kwa entrance ya biz yako,,,hii itavuta attention ya wasee from a distance. 7.Pricing,,,,ukishaleta mzigo kutoka kwa Pedi wako lazima upige hesabu zako safi sana,,,,kama slide moja imeingia na Soo moja inafaa upate profit kwa hio shoe so unaweza ongeza Soo moja juu upate profit na cater for transportation fee. 8.Consider deadstock,,,,kama kutakuwa na dolls zimekaa sana haziendi,, unaweza decide upunguze price kiasi so that hata kama utapata 50 bob kama profit iko sawa. 9.Kuwa consistent kwa biz usifungue siku moja then unafunga siku tatu tena urudi siku mbili tena upotee,,,hapo utapoteza customers wako. 10.Advertise vitu unauza kwa IG,Fb, Wazzup, TikTok,X na pia unaweza ingia kwa groups kibao ukuwe unawaonyesha kazi yako. 11.Kuwa na lugha ya #biashara,,,kila customer ako na mapungufu yake jua vile utaelewana na kila customer mwenye atakam kwa biz yako,,,#All the Best