
15k Ni Mwanzo mzuri sana. Kwanza, Identify location nzuri, yenye biashara yako ineza Fanya vizuri. Karibu na college, university, Polytechnic Iko sawa.
Nunua Slide mbalimbali. Za watoto , madem na hata maboys. Ili mtu akikam asikose kupata yake.
Collaboration muhimu sana. Unganika na watu ili biashara yako iwe mbele.
Uza bidhaa zako kiwholesale. Usiweke juu saana mpaka ukapoteza macustomers.
Uza vitu quality nzuri. Quality pia Ina matter sana kwa bidhaa ukitaka ziuzwe vizuri.
Sharpen your focus- kuwa mbunifu kwa biashara yako. Kila mtu anayekuja kubuy awe comfortable.
Good communication skills- hapa itakuhelp sana kuuza na kukeep relationship baina yako na mnunuzi.
Social media platforms- market your business technologically.
Have a good business plan.

