
1st anafaa akue at a strategic point pali customers wanaeza mwona kwa urahisi. 2nd anafaa asake table bigi well branded according to the biz anafanya na apange vitu anauza vizuri juu ya hio table in a manner that ina attract customers 3 cleanliness is paramount kwa biz inahusika na food. A make sure kila kitu enye anatumia at his biz location iko best yake note 4. Packaging yake pia ina matter na vle anaongelesha wateja. 5. Awe na pricing strategy fiti I.e price za goods zake ziendane na place ana run hustle yake ( not too high or too low) 6. Lastly record keeping itamsaidia kujua biz yake inaleta nn by the end of the day Awe na book ivi na a split in two side moja iwe ya stock ame buy na the other side aweke record ya vle ameuza vitu at the end of the day hesabu itakua rahisi kwake