
1st as the business lady they way a person relates with the customers matters alot You can retain your customers by relating well with them Na pia mtu anaeza waretain customers wake kwa kuwapea atleast discount kiasi ju kuna wale loyal customers wenye wapata wanakupromote sana hadi pia wanakuletea customers wengine #CusomerRetention
0
0
0